TUNAJIVUNIA UTALII..TUULINDE...TUUTANGAZE..TURITHISHE VIZAZI VYETU

Thursday, July 4, 2019

IFAHAMU HIFADHI YA TAIFA YA RUAHA

Hifadhi ya Ruaha iko katikati ya Tanzania umbali wa Kilometa 128 Magharibi katika Mji wa Iringa.
Ni hifadhi ambayo ina ukubwa wa Kilometa za mraba 1300. Inayo idadi kubwa ya tembo wanaokusanyika katika eneo moja kuliko eneo lolote Afrika Mashariki.
   Hifadhi hii ina sifa ya kuwa na wanyama na mimea karibu yote inayopatikana Kusini na Mashariki mwa Afrika.
Baadhi ya wanyama ambao wanapatikana katika mbuga ya Ruaha

JIWE LINALOONGEA (GANGILONGA)

Unaweza kuwa tayari ushasikia kuhusu jiwe hili linalosadikika kuwa lilikuwa likiongea...
  GANGILONGA ni jiwe ambalo linapatikana mkoani Iringa na ambalo asili ya jina la jiwe hili ni kihehe likiwa na maana ya Jiwe linaloongea....
   Tazama jiwe hili hapa chini


MFAHAMU CHIFU WA WAHEHE.....SHUJAA ALIYEPIGANA NA WAJERUMANI

Mkwawa au kwa jina refu Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga (1855 – 19 Julai 1898) alikuwa mtemi na kiongozi mkuu wa kabila la Wahehe katika T...